Bidhaa

Sato wa Nile, madume pekee

Oreochromis niloticus

Sato wa Nile madume pekee kutoka mbegu zetu za Victoria, kwa wafugaji wanaotaka ukuaji sawia hadi ukubwa wa soko.

Mambo muhimu

  • Madume pekee (monosex)
  • Base fry: gramu 0.1 hadi 0.2
  • Best fry: gramu 0.3 hadi 0.4
  • Super fry: gramu 0.5 hadi 1

Kiwango cha chini cha oda na usafirishaji

Mwanza

10,000 vifaranga (kima cha chini)

Uliza gharama

Geita, Simiyu na Mara

10,000 vifaranga (kima cha chini)

Uliza gharama

Mikoa mingine ya Tanzania

25,000 vifaranga (kima cha chini)

Uliza gharama

Uko tayari kupandikiza mabwawa yako?