Mambo muhimu
- Madume pekee (monosex)
- Base fry: gramu 0 hadi 2
- Best fry: gramu 3 hadi 5
- Super fry: gramu 5 na zaidi
Kiwango cha chini cha oda na usafirishaji
Mwanza
10,000 vifaranga (kima cha chini)
Usafirishaji bure
Geita, Simiyu na Mara
10,000 vifaranga (kima cha chini)
Uliza gharama
Mikoa mingine ya Tanzania
25,000 vifaranga (kima cha chini)
Uliza gharama